Jumatano , 18th Mei , 2022

Anaitwa Jacksong ni kichwa kipya kwenye game ya BongoFlava, ametumia dakika 4 na sekunde 6 kuchanganya nyimbo ya Diamond Platnumz na Alikiba akiimba live na gitaa.

Picha ya Jacksong, Diamond na Alikiba

Nyimbo hizo alizoiimba ni lala salama ya Diamond, mapenzi yana run-dunia na hadithi ya Alikiba.

Zaidi tazama hapa kwenye video akionesha ufundi wa kuimba nyimbo hizo.