Picha ya rapa Soulja Boy
Soulja Boy anasema muziki umebadilika sio kutegemea Radio na TV ambazo hucheza nyimbo zao mara moja tu badala yake kuna Internet na ‘Digital Platform’ zinazofanya mashabiki kusikiliza/kutazama hata mara 100.
Rapa huyo na Producer kutoka pande za Atalanta Marekani anaona ni bora apate pesa za kupitia mashabiki zake mitandaoni kuliko kuingia mkataba wa kusaini dili na kampuni au mtu.