Jumatatu , 24th Mei , 2021

Msanii kutokea lebo ya Konde Music Worldwide (KMW) Ibraah (Chinga) amethibitisha kuja na lebo yake ya muziki siku za hivi karibuni kwa lengo la kuendelea kuwanyanyua wasanii wengine ambao wana uwezo ila hawajapata nafasi ya kutoka kimuziki.

Msanii Ibraah

Msikilize alichokizungumza zaidi.