Jumamosi , 12th Nov , 2022

Msanii Gigy Money amesema kitendo cha msanii Diamond Platnumz kutoboa poa anachukulia kama mambo ya style na fashion kwa sababu hata mastaa wakubwa wameshafanya hivyo japo hawezi kumruhusu mwanaume wake afanye hivyo.

Picha ya Diamond akitoboa pua na Gigy Money

Zaidi tazama hapa kwenye video Gigy Money akizungumzia kwa urefu kitendo hicho.