Jumatano , 16th Jun , 2021

Rapper Drake ameendelea kuweka rekodi za kipekee kwenye kiwanda cha muziki Duniani kwani hivi sasa anashikilia rekodi ya kuwa msanii wa Rap aliyetokezea mara nyingi zaidi kwenye chart kubwa za muziki Duniani za billboard (Hot 100).

Picha Msanii Drake

Drake ameingiza maingizo 233 kwenye Chart hizo katika historia huku akifuatiwa na Lil Tunechi akiwa na maingizo 173.

1.Drake - 233
2.Lil Wayne - 173
3.Future - 123
4.Nicki Minaj - 118
5.Kanye West - 109

Tazama orodha kamili hapo chini;