Rapa Dogo Janja
Akiongea na ENews Dogo Janja anasema
"Madee ,Babu Tale na Mkubwa Fella wanabidi waanza tizi ili wawe fiti katika jambo lolote, hata pakitokea issue mbaya hapa atakayeanza kukimbia ni yule aliyefiti zaidi, Madee ndio msanii nayetaka kumshika mkono nimpeleke Gym mwenyewe ila Chege na Temba wanafanya tizi sana", alimalizia Dogo Janja.