Picha ya Diddy
Diddy anasema anaheshimu Hustle za rapa wa kizazi kipya lakini Travis Scott na Young Miami amewapitisha kuwa mabilionea wajao.
Tajiri wa muziki na mfanyabiashara maarufu duniani P Diddy amewataja rappers Travis Scott na Young Miami kama mabilionea wajao wa kizazi kipya cha Rap.
Picha ya Diddy
Diddy anasema anaheshimu Hustle za rapa wa kizazi kipya lakini Travis Scott na Young Miami amewapitisha kuwa mabilionea wajao.