Jumatatu , 15th Apr , 2024

Ni Headlines za OBO Davido akifunguka kuhusu wasanii wakubwa watatu Africa ‘Big Three’ yeye, Wizkid na Burnaboy akipiga story na mtangazaji Sways Universe.

Picha ya Davido

“Mkubwa ni mimi, ushindani ni mzuri unafanya muziki kuendelea kuishi. Kuna wasanii wengi kama Rema, Kizz Daniel Ayra Starr wanaenda”

“Lengo kuu ni kuupeleka muziki level nyingine. Ubinfasi wa mtu kafanya hivi au vile hauna maana” anasema Davido.

Story zingine alizofunguka Davido ni ukaribu wake na staa wa muziki duniani Marekani Chris Brown, ushauri aliopewa na baba yake kuhusu madawa ya kulevya, utofauti wa vyombo vya habari Marekani na Africa.