msanii wa bongofleva Dark Master
Dark Master amesema kuwa, tattoo hii itasimama sambamba na tattoo nyingine ya marehemu Albert Mangwea katika kifua chake upande wa kulia kama njia ya kuwaenzi marehemu hawa.

Msanii wa muziki Dark Master, baada ya kifo cha rapa Geez Mabovu, amesema kuwa mihimili yake katika sanaa hiyo ya Rap imeondoka yote, na kusema kuwa ameamua kuchora tattoo ya rapa huyu katika kifua chake upande wa kushoto.