
Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria.

Ujumbe wa Tanzania (Kushoto) ukiongozwa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (katikati kushoto), na Ujumbe wa Burundi ukiongozwa na Waziri wa Miundombinu na Makazi, Mhe. Dieudonne Dukundane (katikati kulia), wakiwa katika kikao cha pamoja, kilichofanyika jijini Dodoma, kilichojadili kuhusu Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) itakayounganisha nchi hizo mbili.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Camillus Wambura

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa neno wakati wa ufungaji wa mafuzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam.
.jpg?itok=XYqX9xR4×tamp=1710416123)
Ofisa Fedha kutoka GGML, Joscar Rumanyika, akifafanua faida za program ya ushauri kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kalangalala. GGML imezindua mpango huo uliopewa jina la ‘GGML Ladies mentorship program’ ikiwa ni sehemu ya wanawake wa kampuni hiyo kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake.

Sanctus Mtsimbe