Alhamisi , 28th Jul , 2022

King of the Best Melody Christian Bella amesema huenda mashemeji wakawa ndio chanzo cha kukwamisha ndoa nyingi za vijana kutokea kwa sababu wanakuwa na mahitaji mengi.

Picha ya msanii Christian Bella

Akizungumzia sababu hiyo na sababu zingine alizozitaja Christian Bella kwa vijana kutokuwa tayari kuingia kwenye ndoa bonyeza hapo chini kutazama.