Chidi Benz ajitetea ishu ya kutoboa pua 

Jumapili , 12th Sep , 2021

Rapa Chidi Benz ameitetea style yake ya kutoboa pua ambayo ilizua gumzo kwa kusema kiutamaduni ni sawa kwa sababu hata wamaasai na wagogo nao wanatoboa pua.

Picha ya msanii Kalapina

Chidi Benz ameongeza kusema style hiyo ipo kwenye urembo na kutoboa kwake haimfanyi yeye kuwa wa kike.

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video akizungumzia hilo.