Picha ya 21 Savage
“Kwa mtazamo wangu naamini wazazi masikini ni bora zaidi ya wazazi matajiri. Mzazi ambaye hana kipato anapata muda mwingi na watoto, mwenye kipato anaweza kununua zawadi ingawa sio muda wote watoto wanahitaji zawadi”.
“Watoto wanapenda kutumia muda pamoja na wazazi na muda hauna gharama yoyote” - amesema 21 Savage
21 Savage amefunguka hayo kupitia interview aliyofanya na Shannon Sharpe,mengine aliyozungumzia ni issue za mahusiano, kazi zake za muziki na T.I kutaka kumsaini kwa Tsh Bilioni 2.