Alhamisi , 20th Feb , 2025

Sharobaro President na mr chocolate flavour Bob Junior anafunguka kilichotokea kati yake na Diamond Platnumz ambacho anadai kilisabishwa na utoto wakati wanaanza pamoja muziki.

Picha ya Bob Junior na Diamond Platnumz

"Mimi ndio nilimshauri Diamond Platnumz aache kurap na aanze kuimba. Nilirekodi Album ya Kamwambie bure sijachukua hata mia, mambo ya kitoto ndio yalitugombanisha hatukuwa na ugomvi serious".

Zaidi tazama hapa kwenye video