Jumanne , 11th Jan , 2022

Mwanamke aliyepata mtoto na msanii Ibraah kutoka Konde Gang Kim Mishepu amesema hapati msaada wowote kutoka kwa msanii huyo licha ya kuwa ana tatizo la mshono alilopata baada ya kujifungua.

Picha ya Kim Mishepu, Ibraah na mtoto wao

Kim Mishepu anasema alianza mahusiano na Ibraah kabla hajakuwa staa na kumzalia mtoto mmoja wa kike aitwaye Yasreen.

Zaidi tazama hapa akizungumzia kuhusu suala hilo la kutopata msaada kutoka kwa Ibraah.