Jumanne , 28th Oct , 2014

Kutokana na wimbi la Wasanii kuchukuliwa na wimbi la matumizi ya Dawa za Kulevya, Msanii wa Muziki wa R&B hapa nchini, Ben Pol ametoa mtizamo wake wa ni kwanini anafikiri changamoto hii inawakabili wasanii kwa wingi.

Ben Pol

Ben Pol amekanusha swala la Msongo kuchukuliwa kama kichocheo cha kuwafanya wasanii hawa kutumia dawa za kulevya, na hapa anafafanua zaidi tafsiri yake hii.