
Picha ya Msanii Belle 9
Kwenye muziki wa Bongo Fleva kuna gwiji wa kunyoosha korasi kwenye nyimbo za wasanii mbalimbali ambao alipewa nafasi ya ushiri wao.
Belle 9, nyota kutoka mji kasoro bahari Morogoro huyu jamaa anatajwa kuwa ni chorus killer haswaa, kutokana na ushiriki wake kwenye nyimbo za wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva na Hip Hop na kisha kutendea haki nafasi yake.
Baadhi ya nyimbo ambazo amefanya korasi na zikafanikiwa ni;
Nimechokwa (Shetta)
Dear Gambe (Young Killer)
255 (Quick Rocka)
Astara Vaste (Azma Mponda)
Kumi na Tatu (Young Killer).