Alhamisi , 22nd Dec , 2022

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wamefunguka walichomuitia msanii wa singeli Dulla Makabila kuhusu wimbo wake mpya ya 'Pita huku' wakisema neno la 'Shoga' lililotumika kwenye wimbo huo ndio limezua taharuki.

Picha ya Katibu Mkuu Mtendaji wa BASATA Dkt Kedmon Mapana akizungumza na waandishi wa habari

Zaidi tazama hapa Katibu Mkuu Mtendaji wa BASATA Dkt Kedmon Mapana akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya majadiliano na Dulla Makabila.