
Picha ya AY, Alikiba na Joh Makini wakiwa studio
Tegemea kusikia Collabo kutoka kwa wakali hao baada ya kushea picha na video zao wakiwa Studio wanarekodi mkwaju wao huo mpya.
"Usiku wa jana jikoni na wabobezi @aytanzania x @officialalikiba x Me produced by @tazgoemi who's ready" ameandika Joh Makini kupitia page yake ya Instagram.