Jumanne , 13th Feb , 2024

Masta Kabisa Mzee wa Commercial AY anaamini itachukua muda mrefu sana wasanii kuwafunika Dr Dre na Snoop Dogg kwenye show ya Super Bowl Halftime waliyoifanya mwaka 2022.

Picha ya Dr Dre na Snoop Dogg wakiperforme Super Bowl Halftime show mwaka 2022

“Itachukua muda mrefu sana artist/artists wataoweza kuwafunika Snoop Dogg & Dre kwenye Super Bowl” - Ameandika AY

Mwaka 2023 aliperforme Rihanna akiwa mjamzito na mwaka huu 2024 ameifanya Usher.