
Kutoka kulia ni Harmorapa, Chidi Benz na Q Chief
Harmorapa amewaandikia ujumbe huu Chidi Benz na Q Chief
"Ma-legend waheshimiwe na stress zao, ukweli huwa wanatukosea sana new generation lakini tukiwajibu tunaonekana hatuna adabu na wanatusaka kutuzingua na wanatudharau nyuma ya mitandao"
"Chidi Benz na Q Chief wameshinda kuzuia mihemko yao. Mbarikiwe na ninawapenda sana ma-role model wangu, Chuma na Chila ahsanteni kwa kejeri na vicheko vyenu".
Zaidi tazama hapa kwenye video.