
Picha ya Msanii Anjella
Mwimbaji huyo alijiunga na mtandao wa YouTube mwezi Oktoba 25, 2020 na amekuwa na wastani wa kutengeneza views zaidi ya milioni 1 kila mwezi kupitia kazi zake mbalimbali ambazo amezipakia kwa takribani kipindi cha miezi 7 na nusu hivi.
Ikumbukwe nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya wiki iliyopita alikabidhiwa Plaque (Silver Button Award) na mtandao wa Youtube baada ya kufikisha wafuatiliaji (Subscribers) zaidi ya 100,000