Jumanne , 12th Oct , 2021

Staa wa muziki nchini Tanzania Ali Kiba ameweka rekodi mpya kwenye muziki wake baada ya ngoma zake tatu alizoziachia kutoka Album yake mpya ya 'Only One King' kuingia trending ya mtandao wa Youtube.

Picha ya msanii Alikiba

Alikiba ameweka rekodi hiyo baada ya kupita siku 6 tangu alivyoiachia Album hiyo yenye ngoma 16, huku akiwashirikisha wasanii wa nje tu.

Zaidi fuatilia hapa kwenye video.