Jumamosi , 19th Feb , 2022

Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri Ngorongoro, wamejeruhiwa kwa kupigwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za milii yao.

RPC wa Arusha ACP Justine Masejo

RPC wa Arusha ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.