Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wataalam wakutana kupitia wimbo wa Taifa

Jumanne , 10th Mei , 2022

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo Mei 10, 2022 jijini Dodoma amekutana na wataalamu wa Ala za Muziki ambao wanapitia Wimbo wa Taifa, Wimbo wa Uzalendo na Wimbo wa Afrika Mashariki kwa ajili ya kubaini makosa yanayofanyika wakati wa uimbaji na hatimaye

Wataalamu hao wanaongozwa na Mwalimu Mstaafu wa Shule za Sekondari  Alexander Ngonyani  ambao wanapitia Wimbo wa Taifa, Wimbo wa Uzalendo na Wimbo wa Afrika Mashariki kwa ajili ya kubaini makosa yanayofanyika wakati wa uimbaji na hatimaye  kuyarekebisha ili nyimbo hizo ziimbwe kwa usahihi.

Akizungumza katika kikao hicho, Naibu Katibu Mkuu Yakubu amesema kuwa Wimbo wa Taifa ni miongoni mwa Tunu za Taifa, hivyo unapaswa kuheshimiwa.

"Nawasisitiza kubainisha makosa yaliyopo kwenye nyimbo hizo, pamoja na usahihi unaotakiwa ili sisi kama Serikali tuchukue hatua ikiwemo kutoa elimu Kwa jamii ili makosa hayo yasirudiwe"Amesema Bw.Yakubu.

Kwa upande wake  Mzee Ngonyani amesema kuwa  chimbuko la kazi hiyo ni kutokana na kubaini makosa mengi katika uimbaji wa nyimbo hizo  unaofanywa na Taasisi, Shule na katika hafla mbalimbali za kitaifa, na tayari ameshawasiliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na BASATA  ambao wamepokea utafiti huo ambao na kushauri aonane na uongozi wa Wizara ili kufanyiwa kazi ipasavyo.
 

HABARI ZAIDI

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita