Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wasanii wa singeli hawana ubunifu - Msaga Sumu

Jumanne , 21st Feb , 2017

Wasanii wa nyimbo za Singeli wamelalamikiwa kwa kukosa ubunifu katika kazi zao ndiyo maana mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyeweza kuachia 'ngoma' mpya kwa kuwa wote wanategeana.

Msaga Sumu

Kilio hicho kimetolewa na Msaga Sumu ambaye ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza kuutambulisha muziki huo kutoka uswahilini kwa kurekodi na kuruhusu kazi zake kuchezwa katika vituo mbalimbali vya Radio na Television, kiasi cha kujipa jina la Mfalme wa Singeli

"Singeli imekuja baada ya mimi kuanzisha muziki wa radha, kuna siku niliongea itafikia wakati singeli itapotea kwasababu wasanii wengi kuwa wavivu wa kufikiri pamoja na ubunifu wa kutengeneza kazi zao wenyewe lakini wao wanachokifanya ni kunisubiri Msaga Sumu nitoe wimbo kisha waende kugeuza maneno". Alisema Mfalme huyo

Aidha Msaga Msumu ambaye amezungumza kupitia eNewz ya EATV amesema soko la muziki huo limeshuka kwani hapo awali lilikuwa limepanda juu na kufanya vizuri zaidi lakini sasa hivi wameshuka chini zaidi. 

Vilevile msanii huyo amesema baadhi ya wanasingeli hawana ushirikiano kwa kujiona wameshafika katika hatua kubwa za maendeleo kwa kutoa kazi moja tu.

Msanii huyo aliendelea kwa kusema kwamba wakitaka muziki wa singeli usimame lazima washirikiane na wasitake kuvimba kwa kutoa ngoma mbili pia amewataka wasanii wenzake kutokata tamaa kwani bado nafasi wanayo kwakuwa muziki wa bongo fleva haujawaacha mbali sana.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa