Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wanaojitangaza kutibu UKIMWI waanza kusakwa

Jumatatu , 16th Jan , 2017

Tume ya Taifa ya Kudhuibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS kwa kushirikiana na vyombo vya dola inatarajia kuanza oparesheni maalum ya kuwasaka baadhi ya viongozi wa dini na waganga na tiba za asili wanaodai kuwa na uwezo wa kutibu ugonjwa wa UKIMWI

Tume hiyo imesema kuwa watu hao wamekuwa wakiwapotosha wagonjwa wenye virusi vya Ukimwi wanaotumia dawa za kufubaza virusi hivyo kwa kuwashawishi waache kutumia dawa hizo badala yake waishi kwa imani ya njia ya miujiza.

Akizungumza na waandishi wa habari mwanasheria wa TACAIDS Elizabeth Mselu amesema sheria namba 27 inayohusiana na masuala ya kinga dhidi ya magonjwa ya Ukimwi iliyotungwa mwaka 2008 inamzuia mtu yeyeote kutangaza kuwa anatibu Ukimwi au ana mkinga mtu asipate Ukimwi.

Amesema zoezi hilo linaanza leo (Jumatatu) kwa kushirikiana na vyombo vya dola katika mkoa wa Dar es salaam na kwa wale wa mikoani watawatumia watu wao katika kufanikisha zoezi hilo ili kuzuia tatizo hilo lisiendelee kujitokeza na kusababisha usumbufu kwa wagonjwa ambao wakizidiwa hurudi tena hospitali wakiwa na hali mbaya zaidi.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe