Jumapili , 9th Mei , 2021

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amesema atawaripoti Mkuu wa Wilaya ya Mbonge, Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari kwa Waziri wa TAMISEMI ili naye amwandikie Rais Samia Suluhu kutokana na uzembe.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde

Silinde ametoa kauli hiyo baada kutoridhishwa na utendaji na usimamizi wa miradi ya elimu wilayani Mbogwe mkoani Geita,  hususani ujenzi wa mabweni katika shule za Lilembela na Mbogwe mkoani Geita.

Tazama video hapo chini