Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wakulima, Wafugaji wajadili Katiba Morogoro

Jumamosi , 6th Dec , 2014

Wakulima wadogo na wafugaji  kutoka mikoa yote nchini wanakutana mkoani Morogoro kujadili Katiba iliyopendekezwa, iwapo imezingatia maslahi ya wazalishaji wadogo.

Wakulima wadogo na wafugaji  kutoka mikoa yote nchini wanakutana mkoani Morogoro kujadili Katiba iliyopendekezwa, iwapo imezingatia maslahi ya wazalishaji wadogo.

Mkurugenzi wa mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania, MVIWATA Stephen Ruvuga , akizungumza mjini Morogoro, amesema pamoja na Katiba hiyo iliyopendekezwa kuangalia suala la haki za ardhi  kwa wakulima bado wanaona haki zilizopo hazitoshelezi.

Naye Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Deus Kibamba, akiwaasa wananchi kuepuka maneno ya kuonesha kuiomba serikali kufanya jambo kupitia katiba, hali inayoweza kuzua mtafaruku kama uliotaka kujitokeza bungeni pale kamati ya bunge ilipozozana na serikali ikitaka baadhi ya mikataba.

Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Eliya Ntandu amewaasa wakulima na wafugaji kuwa na ushirikiano usio wa kisiasa ili kuweza kusaidiana sambamba na makundi hayo kuwa na umoja wenye nguvu ili kuongeza uzalishaji na kuboresha soko la ndani, huku wakulima na wafugaji wakilalamikia mifugo kufa nyakati za kiangazi kwa kukosa mvua kutokana na uharibifu wa mazingira hususani ukataji wa miti ovyo.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa