Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wakazi Bariadi wamlilia JPM kuwanusuru watoto wao

Alhamisi , 21st Jan , 2021

Wakazi wa Kijiji cha Mtale, mkoani Bariadi wamemlilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasaidia kukamilisha ujenzi waliouanza wa shule ya sekondari ili kuwanusuru watoto wao wanaokatisha masomo yao kutokana na kubeba ujauzito.

Mfano wa mwanafunzi mjamzito (Picha kutoka mtandaoni)

Wakizungumza na EATV kijijini hapo,Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, wananchi hao wamesema watoto wao wanapata ujauzito kutokana na kutembea umbali wa kilometa 30, kwenda na kurudi shuleni hali iliyowalazimu wananchi wa kijiji hicho kujitolea kujenga shule karibu ili kunusuru hali hiyo.

“Kwakweli hapa Matale tunashida wanafunzi wetu tunawapeleka shule nyangoroka , somanga kule hawamalizi shule wengi wanaishia njiani, wavulana hawamalizi shule sababu ya umbali wasichana wengi wamepata mimba sisi wananchi tumeanzisha ujenzi wa sekondari ila bado tunaomba watusaidie tumalize haya madarasa wanafunzi wetu wapate pakujisomea” amesema  Mwasi Ozananke mkazi kijiji cha Mtale .

Aidha licha ya jitihada walizofanya kuwakomboa watoto hao badoa wameiomba serikali pamoja na mbunge wao kuwasaidia iliwaweze kukamilisha ujenzi huo kuwanusuru watoto wao kwani  hawajabahatika  kupata sekondari huku wakieleza hali halisi kijijini hapo kuwa wakifaulu watoto 60 kwenda sekondari wanaomaliza ni wane tu.

Zaidi ya wanafunzi 54 wa Shule ya Sekondari kutoka Kijiji cha Matale, Wilaya ya Bariadi, wamekatisha masomo yao kutokana na kubeba ujauzito.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita