Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wachepushaji wa maji waendelea kusakwa

Alhamisi , 22nd Sep , 2022

Timu ya Wataalam kutoka Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea kufanya ukaguzi wa matumizi ya maji kutoka maeneo mbalimbali ya vyanzo vya maji. 

Timu ya Wataalam waliopo zone ya Mto Lukulunge na Ngerenge imefanikiwa kubaini mifereji zaidi ya mitatu na kuifunga yote kwa pamoja upande wa juu wa Mto Lukulunge ambayo ilikuwa imebadilisha uelekeo na kupunguza wingi wa maji mtoni. 

Timu hiyo ya wataalam imebaini uvunaji wa maji kwa kutumia Pump unaofanywa na askari kikosi cha jeshi la Wananchi. Pump hiyo imekabidhiwa kwa Mkuu wa kikosi cha Mbinga na kupewa elimu ya usimamizi wa Rasilimali za maji ili iwe mfano kwa sehemu ya watumiaji wa Maji. 


Kutoka zone ya Ruvu Chini timu ya wataalam wa bonde la Wami/Ruvu imefanikiwa kubaini uchepushwaji wa Maji kutoka Mto Ruvu unaofanywa na mwekezaji wa mabwawa ya samaki anayefahamika kwa jina la ndugu Eliona Koka wa kijiji cha Kisabi kata ya Muungano halmashauri ya  Kibaha. 

Katika ukaguzi huo timu ya wataalam wa Bonde la Wami wakiambatana na Wataalam wa Mamlaka ya Maji Dawasa wamefanikiwa kubaini matumizi ya maji isivyo halali kinyume na Sheria ya rasilimali za Maji ya Mwaka 2009.

Mmiliki huyo amekutwa akiendesha shughuli za ufugaji wa samaki katika vizimba huku akiwa hana vibali vya matumizi ya maji kutoka mtoni jambo linalopelekea kuvunja sheria ya usimamizi wa rasilimali za maji. 

Lengo la Ukaguzi huo ni kufanya tathimini ya maji pamoja na kutoe elimu ya urasimishaji wa matumizi na utunzaji wa rasilimali za maji

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa