Jumapili , 11th Jul , 2021

Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam limeungua moto usiku wa Julai 10, 2021.

Sehemu ya moto uliounguza soko

Jeshi la Zimamoto limefanya jitihada za kuzima moto huo lakini kwa kiasi kikubwa moto uliinguza soko zima.

Bado tunafuatilia taarifa zaidi kutoka kwa mamlaka juu ya tathmini ya hasara na athari zilizotokana na moto huo.