
Waziri wa Afya, Maendeleo ya. Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu.
yatakamilika na watatoa taarifa
Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.
Zaidi Tazama Video hapa chini