Ijumaa , 19th Aug , 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA)

Prof. Mwandosya anachukua nafasi ya Prof. Jamidu Hazzam Yahaya ambaye amemaliza muda wake

Taarifa ya Ikulu umeeleza kuwa uteuzi huo umeanza Agosti 15/2022