Jumatatu , 28th Aug , 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Taarifa hiyo imetolewa leo Agosti 28, 2023, na kwamba tayari amekwishaapishwa na amechukua nafasi ya Sid Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.