Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Polisi Arusha wakamata bastola moja ya wahalifu

Ijumaa , 17th Mar , 2023

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kukamata bastola moja aina ya CZ 75 LUGER yenye namba za usajili A487385 pamoja na risasi 71 za bastola iliyokuwa inatumiwa na wahalifu. 

Kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema silaha hiyo pamoja na risasi zilipatikana  katika nyumba iliyopo huko maeneo ya Ilkyurei, Kata ya Kiranyi, wilaya ya Arumeru na mkoa wa Arusha ambapo wahalifu hao walikimbia baada ya askari Polisi kukaribia

Aidha amebainisha kuwa mafanikio hayo yamepatika kupitia katika operesheni maalumu ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uhalifu ambayo bado inaendelea iliyoanza machi 01, 2023.

ACP Masejo amefafanua kuwa wahalifu hao walikimbia baada ya askari Polisi kukaribia kufika katika nyumba hiyo na wanaendelea kufanya upelelezi ili kuwakamata.

Aidha Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limewakamata watuhumiwa 11 wakiwa na mirungi bunda 528 zenye uzito wa zaidi ya kilogramu 162 ambayo walikuwa wakiisafirisha kwa kutumia vyombo vya moto ikiwemo gari pamoja na pikipiki 

Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi mkoani humo kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka limefanikiwa kumfikisha mahakamani mtu mmoja aitwaye Julius Raphael Mollel  (27) mkazi wa kijiji cha Lashaine wilaya ya Monduli kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili (08) ambaye jina lake limehifadhiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa hilo.

Kamanda Masejo amebainisha kuwa wanaendelea kukutana na wananchi pamoja na viongozi wa kata, mitaa pamoja na vijiji kwa lengo la kutoa elimu kuhusiana na ukatili wa kijinsia pamoja na masuala ya usalama ikiwemo umuhimu wa kuanzisha vikundi vya ulinzi shirikishi katika maeneo yao ili kukomesha matukio ya uhalifu. 

Pia wanaendelea kutoa wito kwa wananchi kuacha kujihusisha na vitendo vya ukatili kwani hatutamuonea muhali mtu yoyote atakayebainika kujihusisha na makosa ya unyanyasaji. 
 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita