Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chanzo cha makazi holela Tanzania

Alhamisi , 29th Sep , 2022

Baadhi ya wachumi, watafiti nguli pamoja wakazi katika Jiji la Dar es Salaam wamesema changamoto kubwa ya ukuaji wa miji ni uhamiaji watu kutoka vijijini kuja mijini wakitaraji kupata uchumi imara hali inayochangia makazi holela.

Changamoto ya makazi holela

Hata hivyo mtaalam wa mipango miji ambaye pia amehudumu kama Mkurugenzi wa Nyumba Wizara ya nyumba na makazi Kwa kipindi kirefu     Prof Tumsifu Nkya ameeleza kuwa jambo muhimu kwenye upangaji wa miji ni takwimu sahihi za idadi ya watu kwenye Mji husika Ili kuepuka uholela unaojitokeza Kwa sasa.

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji na mtafiti nguli kutoka taasisi ya utafiti ya Repoa dkt Donald Mmari amesema kufikia mwaka 2030 Jiji la Dar es Salaam litakuwa ni miongoni mwa majiji makubwa Africa hivyo ni lazima sasa kulipanga upya Kwa mliangano sawa wa watu na mifumo ya huduma za jamii zitakazolinda utunzaji wa mazingira.

"Kwa sasa kasi ya ukuaji na upangaji wa miji ni ndogo kuliko kasi ya watu kuingia mijini hivyo ni wajibu wa taasisi za serikali wadau kuja na mpango kazi maalum na ndo maana tunafanya tafiti ili kuja saidia sera"alisema dkt Donald Mmari

Matarajio ya Watanzania wengi yameonesha Imani na unafuu mkubwa kiuchumi mijini tofauti na ilivyo vijijini Hali inayopelekea eneo Moja watu kuhamia Kwa wingi hivyo kusisitizwa uwekezaji  wa kasi kwenye mipango miji hapa Tanzania.

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita