Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ajiua baada kumuua kijana mwenzake kisa mke wake

Ijumaa , 25th Nov , 2022

Kijana Richard Mtafya maarufu kama Masumbuko mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Ludewa kijijini inadaiwa amejiua kwa kunywa maji ya betri kwa kukwepa mkono wa sheria kwa shtaka la mauaji lililokuwa likimkabili.

Mwili wa Richard Mtafya ukiwa umebebwa kwa ajili ya mazishi

Kwa mujibu wa mtendaji wa Kijiji cha Ludewa Kijijini Atanas Mtega pamoja na Baraka Haule ambaye ni Katibu wa Kitongoji cha Ngongano wamesema kuwa kabla ya kifo chake mnamo Novemba 14 mwaka huu kijana huyo kwa kushirikiana na mwenzake walifanya mauaji ya kijana mwenzao aliyefahamika kwa jina la Alfred kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

Aidha kwa upande wake mke wa marehemu huyo Angela Mhagama, amekiri kuwa alikuwa na mawasiliano na kijana huyo aliyeuawa na mumewe huku akieleza kilichotokea baada ya mumewe huyo kuona mawasiliano yao.

Magreth Haule ni bibi wa marehemu huyo ambaye pia ni  mlezi wa kijana huyo  toka alipokuwa mtoto mdogo amesema wakati matukio hayo yanatokea alikuwa shambani huku wananchi wakielezea masikitiko yao juu ya tukio hilo.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe