Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wanawake wa migodini walia na bei

Jumanne , 21st Aug , 2018

Wanawake wanaofanya kazi ya kuponda kokoto na madini ya Chokaa, katika eneo la Amboni jijini Tanga wameiomba serikali kusimamia bei elekezi ambapo lori moja la kokoto linatakiwa kuuzwa kwa sh. laki moja na ishirini tofauti na sasa wao wanauza kwa sh. elfu themanini mpaka sabini.

Wakizungumza na East Africa Radio, kwa nyakati tofauti wanawake hao wamesema kuwa kutokuwepo kwa usimamizi wa bei kunasababisha wao kufanya kazi isiokuwa na maslahi.

Kina mama wanaofanya kazi katika eneo hilo wamesema wamejikuta wakilizamika kuuza kokoto hizo kwa bei ya hasara kutokana na kurudishwa nyuma na madalali hivyo kuwaweka katika wakati mgumu wa kupiga hatua kimaendeleo kupitia shughuli hiyo.

Akizungumzia Suala hilo Mkuu wa Wilaya Tanga, Thobias Mwilapwa, amesema kuwa bei elekezi ya serikali ipo tatizo kina mama hao wanakosa umoja kwa kukubaliana kwa pamoja kufuata bei elekezi na watambue atakenunua chini ya hapo ni kwamba amekiuka sheria.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe