
Afisa Mwandamizi wa Kodi kutoka TRA, Isihaka Sharifu.
Hayo yamebainishwa hii leo Agosti 18, 2020 na Afisa Mwandamizi wa Kodi kutoka TRA Isihaka Sharifu, wakati wa mahojiano maalumu na SupaBreakfast ya East Africa Radio walipotembelea Makao Makuu ya TRA Dar es Salaam.
"Wafanyakazi wote ambao wanakwatwa kodi ya Mashahara PAYE ni lazima kuwa na TIN, hii ni katika Mfumo huu mpya", amesena Isihaka.