Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jackpot Mpya na Kabambe kutoka Parimatch

Jumanne , 11th Aug , 2020

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania imezindua mchezo mpya wa Jackpot ambao utawapa fursa wateja wa kampuni hiyo, kujinyakulia kitita kikubwa cha fedha cha Shillingi Milioni 10 za Kitanzania zitakazokuwa zinatolewa kila wiki.

Jackpot hiyo iliyozinduliwa na Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa Parimatch Tanzania, Tumaini Maligana amesema kwamba utakuwa mchezo wa kwanza wa Jackpot wenye idadi ndogo ya michezo ya kubashiri nchini na dau dogo zaidi.

Akizungumza na waandishi wa habari, Maligana amesema kuwa dau la Jackpot hiyo itakuwa ni Shilingi 100 na itakayohusisha mechi 10 za ligi mbalimbali kubwa, ambapo mshindi atapatikana mara baada ya mechi husika kumalizika zilizokuwa zikibashiriwa katika Jackpot hiyo.

“Wateja watatakiwa kubashiri mechi 10 zitakazokuwa zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu upande wa Jackpot au wanaweza kuzipata kwa kubonyeza kiunga hiki https://pma.bet/jackpot  na watafanikiwa kushinda kitita hicho cha Milioni 10 na kubwa zaidi ni kwamba kwa mkeka huo huo mteja anaweza kufanya ‘multi selection’ yaani kuchagua matokeo zaidi ya moja kwa mechi moja. La muhimu pia ni kwamba mechi hizi 10 ni za timu pendwa na za ligi kubwa duniani hivyo uchaguzi utakuwa rahisi zaidi”, amesema Maligana

Aidha, Mkurugenzi huyo Muendeshaji wa Parimatch Bwana Maligana amesisitiza kuwa lengo la kuanzisha Jackpot hiyo ni kutaka kukuza burudani ya soka kwa wateja wa Parimatch ili kusudi wapate fursa ya kushinda kitita kikubwa cha fedha kwa kutoa hela kidogo.

Kwa upande mwingine, Parimatch imekuwa mkombozi mkubwa kwenye soko la michezo ya kubahatisha ndani ya nchini kwa kuweza kutoa michezo na masoko yenye ubora na faida maradufu, malipo kwa haraka baada tu ya mchezo kuisha, huduma ya wateja bora ndani ya masaa 24 siku 7.
 

HABARI ZAIDI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita