Jumatano , 29th Dec , 2021

Salamu za bampa to bampa za msanii Alikiba zikufikie popote uliopo kwani staa huyo wa muziki bongo ameshea taarifa za kufikiria kuachia Album nyingine 2022.

Picha ya msanii Alikiba

Kupitia akaunti yake ya twitter Alikiba ameandika kwamba "Nafikiria kuachia Album nyingine 2022".

Siku ya Oktoba 7, 2021 Alikiba aliachia Album yake ya 3 'Only One King' ikiwa na ngoma 16 ambayo inafanya vizuri kwenye platform mbalimbali za muziki.