Tundu Lissu Rais mpya (TLS)

Saturday , 18th Mar , 2017

Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682 zilizopigwa.

Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu.

Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu 

"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote." Ameandika Julius Mtatiro 

 

Recent Posts

Mwamuzi Jacob Adongo akizungumza na wachezaji wa timu zote mbili jana

Sport
Mwamuzi Simba Vs Mbeya City aadhibiwa

Taifa Stars katika mazoezi

Sport
Kiingilio mechi ya Taifa Stars chashushwa

Viongozi walioapishwa leo wakila kiapo cha maadili ya utumishi wa umma, Ikulu DSM

Current Affairs
Mwakyembe, Kabudi waapishwa rasmi

Mtayarishaji wa muziki Bob Maneck akiwa studio

Entertainment
Bob Maneck aja na mapinduzi katika muziki