Submitted by mohamed on Jumatano , 5th Mar , 2014Ndani ya Zecomedy wiki hii kutana na mdaiwa sugu licha ya kuuza kiwanja chake kwa Milioni 40, agoma kulipa deni la Tshs.30,000/= analodaiwa. Je, nini kitatokea ni Alhamisi hii 6/3/2014 eatv pekee