Shetta, Nordin au niseme baba Kayla yuko ndani ya Planet Bongo akifuturu na Dulla pia akituelezea maisha yake kama msanii ndani ya mwezi mtukufu.