"Kampeni hii ya East Africa Television na East Africa Radio nimeipenda sana ni ya tofauti na nyingine, mnafika vijijini kwa wahitaji wenyewe, niwapongeze kwa leo kufika hadi huku Ikomwa ambako huwa hapafikiwi mara kwa mara na wadau".
Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Sekondari
Manispaa ya Tabora
