Submitted by Sophia on Jumamosi , 19th Apr , 2014HIDDEN TREASURE sehemu ya kwanza ni hadithi ya binti wa kizungu anayetoka safari na kuingia jiji la Arusha. Baba yake kabla ya kufa anamwambia kuwa ana nyaraka za hazina aliyoificha. Binti anapoanza kufatilia hazina hiyo inaingiliwa watu wabaya.