Submitted by richard on Jumatano , 10th Feb , 2016
Ndani ya WAKILISHA ni vijana kutoka sehemu mbalimbali mkoani TANGA, ni vijana ambao wameamua kuacha kutumia madawa ya kulevya na kurudi katika maisha yao ya kawaida, baada ya kukutana na madhara mbalimbali,ni saa 3:00 usiku EATV PEKEE.