Submitted by richard on Ijumaa , 30th Oct , 2015Pamoja na watu wengi kuishi uswahilini, lakini .. je? wanajua maana ya uswahilini?. mtu akikwambia uswahilini unaelewa nini..? kutana na waswazi wenyewe wakifafanua maana ya uswahilini.. Tuungane pamoja kuelimishana, ni Jumapili saa 12 kamili jioni.