Michango ya sherehe mbalimbali huku Uswazi inaweza ikapelekea kumuathiri mtu kiuchumi kutokana na kadi za michango anayoletewa kwa mwaka, Waswazi wametoa maoni yao juu ya hili. Usikose kuitazama hapa EATV Jumapili saa 12: 00 Jioni